Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani jamani yaweza kufanywa kwa namna tofauti, kwa Mfano wana HELAU waliadhimisha kama ifuatavyo:
Tulijipanga, na kwa msaada wa Afisa Maendeleo ya jamii kata ya Mbezi Juu tulikifahamu kituo cha watoto Yatima kilichopo ndani ya Kata yetu kinachoitwa Furaha Children's Home Centre.
Hapo ndipo tulipofanyia maadhimisho ya tarehe 8/03 /2014 (siku ya wanawake Duniani,
Tukiwa kama wanawake wenye Hekima tuliwakumbuka watoto waliopo kwenye mazingira hatarishi kwa kupeleka msaada kwenye Kituo Hicho.
Haikuwa kazi ndogo kufika mahali hapo kwani njia ni mbaya na gari haikuweza kufika kwenye nyumba husika.
Fuatilia yaliyojiri;
No comments:
Post a Comment