HELAU walitimiza miaka 3 toka waanze umoja wao, sherehe zilifanyika January12, 2013 pale Picolo Beach Hotel. Matukio makubwa yaliyokuwepo siku hiyo ni Mkutano Mkuu wa Mwaka, na Fund Raising kwa ajili ya mfuko wa kutekeleza miradi ya Chama. Fuatilia matukio katika picha
No comments:
Post a Comment