Mweka hazina wetu Joyce Swai katika simple pose
Joyce Pallangyo mama Nidham katika pose na Rarukia Jighe Makam Mwenyekiti
Mwenyekiti Eva bugoye baada ya kutupatia zawadi wanachama wote,hapana chezea Mwenyekiti wote tulipata shawl za nguvu kama aliyojitanda Regina hapo asante sana mwenyekiti wetu
barikiwa na uongezewe ulipopunguza
Grace Maganga akimshuru mwenyekiti kwa zawadi
Hivi ndivyo katibu wetu Versca Lwenje alivyopokea zawadi toka kwa mwenyekiti
Pendo hagai nae alipokea ya kwake
Baada ya zawadi toka kwa mwenyekiti pia tuli
pokea bahasha za Bonus, hapa Joyce Pallangyo akitabasamu baada ya kukabidhiwa bahasha yake na Mwenyekiti
Regina Njoroge nay alikamata bahasha yake
Mweka hazina Joyce Swai pamoja na pack bahasha lkn pia aliipokea ya kwake toka kwa mwenyekiti
Agnella Meena na bahasha yake with a wide smile
MMh kwa shukrani zetu kwa mwenyekiti ilibidi wanachama tujipigepige kumpongeza mwenyekiti, naye alikama wekundu kadhaa toka kwa wanachama wote
Theresia Masawe na Highness Mmari wasimamizi wa mambo ya kijamii katika pose la furaha
we'l always keep our Values i.e Truth, Courage, Unity and Positive Change
Mwenyekiti wetu Eva Bugoye na Makamu wake Rukia Jighe wakipongezana kwa kazi yakukipeleka mbele chama chetu mwaka mzima wa 2017
Kutoka kushoto ni Mweka hazina wetu Joyce Swai, Eva Bugoye Mwenyekiti, Agnella Meena kwa nyuma, Grace Maganga na Regina Njoroge tukiwa tumewasili kwenye eneo la Tukio
Katibu Wetu Vesca Lwenje (wa kwanza kabisa mwenye dimples)ali
fanyakazi kubwa sana kufanikisha mkutano akiwa kama mtendaji mkuu wa Chama, kwa kweli kazi yake anaimudu
Ilifika wakati wa Maakuli, kwa kweli it was yummmyyyyy, thanks Khana Khazana Restaurant kwa Indian Cuisine ya nguvu, kwa kweli kila mtu ali enjoy
Agnella Meena AKA Mama Cheap Car rentals or Mama Metameta Day care, Business woman la nguvu kwa mahitaji ya gari aina yoyote na wenye watoto wadogo for standard and quality daycare and baby sitting muone huyu dada
Ndani ya ukumbi wa Mkutano Khana Khazana Restaurant
Mwenyekiti Wetu Eva Bugoye aki piga selfie moja tukiwa njiani kuelekea it was so fun kwa kweli
Grace Maganga Mshauri wetu wa Chama akitafakari jambo kabla ya kutoa hekima na ushauri
Here is wapiganaji wetu Eva na Vesca Mwenyekiti na Katibu wetu hongereni na poleni kwa kazi nzito ya kukiendesha chama shupavu cha wanawake wenye hekima(Hekima Ladies Union)
No comments:
Post a Comment