Friday, November 2, 2012


We are currently mobilizing fund to implement our program of empowering women and Girls to fight against poverty, and harmful traditional practices. We are also ready to work as partners with any Organization within or outside the country working on the field .

Agnella


Huyo wa kati kati ndo Agnella -  Mweka hazina wetu kushoto ni Vesca na kulia ni da Rukia

Hermina


HELAU Members kutoka kushoto ni the late Mama Herieth, Hermina and Vesca

Ma mdogo na Ma mkubwa




Double Joyce Kushoto ni Ma mdogo na kulia ni ma mkubwa ( Wote wanaitwa Joyce)


HELAU members wakiwa TMJ Hospital Kumsalimu Mgonjwa (Mama ake Eva) Huyo aliyetoa Macho Ni dada Machachari Mweka hazina Msaidizi Bi Joyce Eva yupo nyuma ya joyce - in red

Katibu


Hebu mcheck katibu wetu anavyo admire  Logo ya kwenye T- Shirt HELAU

Pendo


                               Huyo ndo Pendo - member wa HELAU

Eva and Vesca


     
Huyo hapo kulia ndo katibu wa HELAU  bi Eva -Jicho lake ni silaha ya maangamizi    
                     Kushoto kwake ni vesca- katibu msaidizi

Ma mkubwa


Ma mkubwa akihangaika na Starter( soup Made By mama Heriet was yummy yummy)

Mkutano Mkuu wa HELAU 2011



Another HELAU Uniform -Chezea Mwenyekiti Ndani ya Head band ya kitenge


                     HELAU members in one of their uniform
                      kutoka kushoto Da Rukia, Vesca & Hyness ( Hyness ni deput Chair person)

Pongezi kwa ma-mkubwa



Huyo ndo Vesca in Blue ame nil down Kumpa heshima ma mkubwa
                          Kweli mtoto wa kitanga kafundwa

Mama Herieth





Missing our Fellow Mama Herieth Who passed away in March 2012
                                  Rest in Peace Mpendwa,